Saturday, August 27, 2011
NBC yaipa Tiketi timu ya Walemavu itakayoshiriki All Africa Games
Meneja Uhusiano wa Benki ya NBC Tanzania, Robi Matiki-Simba (kulia) akikabidhi tiketi saba za ndege za kwenda na kujrudi Msumbiji kwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezom la Taifa (BMT) Kanali Iddi Kipingu kwa ajili ya timu ya Tanzania ya wanamichezo wenye ulemavu inayotarajiwa kushiriki michuano ya Afrika ya nchini Msumbiji kuanzia Septemba 3 mwaka huu. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Kamati ya Paralimpiki Tanzania, Iddi Kibwana.
Baadhi ya timu ya Tanzania ya Paralimpiki wakipozi kwa picha na Kanali Kipingu, Meneja Uhusiano wa NBC, Bi. Robi na Katibu Mkuu wa TPC, Iddi Kibwana katika hafla hiyo.
Dola Milioni 777 zatengwa kukamilisha Mpango wa UNDAP 2011-2015
Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa Tanzania Hoyce Temu akiwakaribisha wadau na waandishi wa habari katika semina hiyo.
Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Alberic Kacou akifungua rasmi semina ya waandishi wa habari na wataalamu mbalimbali wa mashirika ya Umoja wa Mataifa Tanzania nchini, juu ya mpango kazi maalum wa miaka minne unaojulikana kama United Nations Development Assistance Plan 2011-2015 (UNDAP) Semina imefanyika kwenye Hoteli ya Movenpick jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Ukuaji Uchumi kutoka FAO Dkt. Vedasto Rutachokozibwa akibadilishana mawazo na waandishi wa habari katika Semina ya UNDAP iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa watumishi wa IAGG Bi. Salome Anyeti akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya masuala ya Haki na Jinsia katika mwendelezo wa semina iliyoandaliwa na UN Tanzania kwa lengo la kuhamasisha waaandishi wa habari kuandika na kuelimisha jamii juu ya mpango wa MKUKUTA na MKUZA kwa kipindi cha miaka 4 ijayo. Kushoto ni Bw. Robert Basil Mwenyekiti wa IAGG upande wa Jinsia na Maambukizo ya Ukimwi kutoka kitengo cha Chakula na Kilimo UN.
Waliokaa Kushoto ni Afisa Mipango wa Taifa (Elimu) kutoka UNESCO Godfrey Mnubi na anayefuata Bi. Maria Westergren wa UNESCO wakitoa ufafanuzi juu ya Mpango wa miaka 4 ya UNDAP kwa upande wa Sekta ya Elimu.
Afisa Program wa WFP Said Johari na Afisa Uhusiano wa michango wa WFP Fizza Moloo wakizungumza na mwandishi wa habari alitembelea kitengo hicho wakati wa semina ya mpango kazi maalum wa miaka minne unaojulikana kama United Nations Development Assitance Plan 2011-2015 (UNDAP).

Thursday, August 25, 2011
TMTV kurusha Muziki wa Kitanzania
TUNAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WANAOISHI NDANI NA NJE YA TANZANIA KATIKA SIKU ZIJAZO ZA KARIBU TUTAFUNGUA TELEVISHENI. CHANELI YA MUZIKI WA KITANZANIA, KWA JINA LA TANZANIA MUSIC TELEVISION {TMTV} (WWW.TMTV.CO.TZ) AMBAYO
ITAKUWA INAPATIKA KWENYE MTANDAO,SETILATI,SIMU ZA MKONONI NA
VING'AMUZI(DECODER)
CHANELI HII ITAKUWA NA VIPINDI VIFUATAVYO:
1.BONGO BOX
2.SALAMU BOX
3.BENDI ZETU
4.TAARABU
5.ZILIPENDWA
6.NYIMBO ZA DINI
7.VIPAJI
8. HABARI ZA MUZIKI
9.SWAHILI HIP-POP
10.NYIMBO ZA UTAMADUNI
ILI KUBORESHA UFANISHI WA CHANELI TUNAOMBA MAPENDEKEZO YENU KUPITIA:
info@tmtv.co.tz
BONYEZA HAPA KWA KUANGALIA CHANELI
www.tmtv.co.tz
KWA KOMPYUTA NYINGINE UTALAZIMIKA KUDOWNLOD SOFTWARE YA MICROSOFT SILVER LIGHT KWA AJILI YA KUANGALIA TV.
SOFTWARE ITAJITOKEZA KTK SCREEN KWA AJILI YA KUDOWNLOD.
WENU
UTAWALA
TANZANIA MUSIC TELEVISION

Warembo wa Miss Tanzania 2011 wapata elimu ya M Pesa kutoka Vodacom
Meneja Huduma wa Bidhaa za Vodacom, Elihuruma Ngowi akifafanua jambo juu ya huduma ya M Pesa kwa washiriki wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika kambi yao iliyopo jumba la Vodacom jijini Dar es Salaam juziAfisa Utawala wa Huduma ya M Pesa kutoka Vodacom, Emmanuel Pallangyo akitoa mada juu ya huduma ya M Pesa kwa washiriki wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika kambi yao iliyopo jumba la Vodacom jijini Dar es Salaam juzi. Baadhi ya washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakijisajili katika huduma ya M Pesa baada ya kupata semina juu ya faida na umuhimu wa kuwa umejisajili katika huduma hiyo juzi wakiwa Kambini katika Jumba la Vodacom
SILIMA AZIKWA NA MAELFU
Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki na baadhi ya Viongozi, kubeba Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini, marehemu Mussa Hamis Silima, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika katika Kijiji cha Kiboje Wilaya ya Kati Unguja jana Agosti 24.Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif na baadhi ya viongozi wakiwa katika dua ya kumuombea aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Unguja, marehemu Mussa Hamis Silima, aliyefariki Agosti 23 katika hospitali ya Muhimbili Dar es Salaam, alikolazwa baada ya kupata ajali Agosti 22. Marehemu Silima amezikwa jana Agosti 24 katika Kijiji cha Kiboje Wilaya ya Kati Unguja.Rais wa Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, wakiwa katika shughuli ya mazikonya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini, marehemu Mussa Silima.
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini, marehemu Mussa Hamis Silima.
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini, marehemu Mussa Hamis Silima.
Mbunge wa Monduli na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Mambo ya nje ya Bunge Edward Lowasa akiweka odongo.
Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe akiweka udongo.
Wakazi wa Kijiji cha Kiboje na vitongoji vyake wakijumuika katika shughuli ya maziko ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini, marehemu Mussa Hamis Silima, wakati wa maziko yaliyofanyika Kijiji cha Kiboje Wilaya ya kati Unguja jana
Subscribe to:
Posts (Atom)