KIMKEV ENTERTAINMENT
Friday, March 25, 2011
MKAPA AOMBOLEZA WAJAPANI
Rais mstaafu wa Tanzania Bw.Benjamin Mkapa akipeana mkono na balozi wa Japani nchini leo asubuhi alipokwenda kwa maombolezo ya wajapani waliyokosa makazi na waliyokufa kutokana na maafa ya tsunami yaliyotokea majuma mawili yaliyopita
.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment