
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza, akicheza ngoma sambamba na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo pamoja na watoto wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), wakati walipokuwa wakitumbuiza kwa kwaya kwenye uzinduzi wa maonesho ya Mkoa wa Pwani katika maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, Viwanja vya Mwanakalenge, Bagamoy

Mkuu wa Wilaya ya Mafia, mkoani Pwani, Manzie Mangochie, akicheza sambamba na mwimbaji wa kundi la burudani la Chuo cha Ukutubi na Nyaraka (SLADS) Bagamoyo, Rose Manoza, wakati wa uzinduzi wa maonesho ya Mkoa huo katika maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru
No comments:
Post a Comment