Bw Henry John Kileo na Bi Joyce Kiria Walipofunga ndoa yao jana Jumapili(jana) na baadae bonge la pati lililofanyika katika hoteli ya Atrium pande za Afrika Sana - Mwenge. NI mara ya pili kwa Joyce kiria kuolewa ndani ya kipindi cha muda mfupi baada ya kutalakiana dj Nelly mumewe wa ndoa ya kwanza Dj.
No comments:
Post a Comment