Mwanamuziki wa hip hop toka nchini Marekani Fabolous akikamua kwenye tamasha hilo lililo hapen katika viwanja vya Leaders jijini Dar na kuhudhuriwa na bonge la nyomi Msanii wa Hip hop toka bongo land Jay Mo akikamua sanjari na mwana hip hop mwenzie Mchizi Mox
Simba mzee, Mfalme asiyevuliwa taji Selemani Msindi aka Afande Sele alikosha kisasawa mashabiki walo hudhuria tamasha hilo. Masoja Long time kitambo wanaitwa Gangwe Mobb.
No comments:
Post a Comment