Monday, November 21, 2011

WAZIRI TEREZYA HUVISA AUKTANA NA BALOZI CLARKE


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akizungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw Tim Clarke kuhusu Msimamo wa Tanzania na wa Umoja wa Ulaya Kwenye Mkutano ujao wa Mabadiliko ya Tabia nchi Utakaofanyika Durban Afrika ya Kusini Unatarajiwa kufanyika ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 28. Novemba hadi Desemba 9/ 2011 (Picha na Ali Meja)

No comments:

Post a Comment