Monday, June 27, 2011

FUSO LA YANGA LAMEREMETA

 Mchezaji wa Yanga na timu ya taifa akiwa na mkewe Jany Mwamasangula wakati wa hafla ya ndoa yao iliyofanyika katika ukumbi wa Makuti JKT Mgulani usiku wa kuamkia leo.Ndoa ya mwanandinga huyu mahiri na bi Jany ilifungwa juzi katika kanisa la Morovian Mburahati
 Wanandoa wakiwa na marafiki
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwapongeza wanandoa

Sunday, June 26, 2011

WINIFRIDA ATWAA TAJI LA MISS PWANI 2011

 Miss Pwani 2011 Winifrida Gration mara baada ya kutanganzwa usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Tasuba Bagamoyo
 Tatu bora kushoto mshindi wa pili Shuleya Dabassi na kulia Mariaclara Mathayo kati Winifrida Gration Miss Pwani 2011 .
 Tano bora
 Mshindi wa pili Shuleya Dabassi
 Muimbaji wa kundi la Off side Trick akiimba wimbo wa Ahmada
 Maina mnenguaji wa kundi la Off Side trick akishambulia jukwaa.
Majaji wakiwa wanafuatilia warembo

Saturday, June 25, 2011

MREMBO WA SINZA 2011 HUYU HAPA

Felister Philip akiwa amepozi kwa furaha akiwa pamoja na mshindi wa pili na watatu mara baada ya kutwaa taji hilo kwenye ukumbi wa Vatican Sinza usiku wa kuamkia leo.

MISS PWANI 2011 KUFANYIKA USIKU WA LEO TASUBA BAGAMOYO

 Warembo wanaotarajiwa kupanda jukwaani  usiku wa leo wakiwa kwenye pozi la pamoja asubuhi ya leo. Shuleya Dabassi
Umri miaka 21 
Bagamoyo.
 Mariaclara Mathayo
Umri miaka 21
Bagamoyo.
 Winifrida Gration
Miaka 21
Kibaha.
 Mwanamboto Mussa
Umri miaka 21
Bagamoyo.
 Esther Saningu
Umri miaka 20
Kibaha
 Felister Njaja
Umri miaka 22
Kibaha.
 Trisheri Nyamizi
Umri miaka 21
Kibaha.
 Fauziyat Seki
umri miaka 18
Kibaha.
 Victoria Jackson
Umri miaka 21
Kibaha.
 Fatuma Bakari
Umri miaka 21
Kibaha
 Mafundi wa Tasuba wakiwa kwenye maandalizi asubuhi  ya leo.
Mstahiki katikati chini alipotembelea kambi ya warembo asubuhi ya leo.

Friday, June 24, 2011

MISS SINZA 2011 NDANI YA VATICAN HOTEL LEO

 Mratibu wa Miss Sinza 2011 bi Titina Makutika akiongea na waandishi wa habari kuhusu shindano la miss sinza  jana jijini Dar es salaam.kushoto kwake ni  bi Victoria Kimaro meneja wa kinywaji cha Redds ambao ni wadhamini wa shindano hilo,kulia ni mkufunzi wa warembo bi Beatrice Joseph.
Warembo wanaotarajiwa kupanda jukwaani leo wakiwa kwenye pozi la pamoja.

Tuesday, June 14, 2011

TWANGA PEPETA KUSHAMBULIA KAWE

                     

Bendi  maarufu ya muziki  jijini Dar es salaam ya African Stars "Twanga pepeta" inatarajia kufanya onesho lake la mwanzo wa juma siku ya Ijumaa tahehe 16.06.2011  katika ukumbi wa Massae gardaen view uliopo Kawe  Tanganyika peckers.

Kwa mujibu wa mratibu wa onesho hilo bw. Albert Kawogo,onesho hilo linatarajiwa kuanza saa 3.00 usiku ambapo kiingilio kitakuwa  5000/=.

Kawogo amewataka mashabiki wa Twanga pepeta  kujitokeza kwa wingi hasa wakazi wa kawe na maeneo ya jirani kwa kuwa hilo ni onesho maalum kwa wakazi wa maeneo hayo ambao huifuata bendi hiyo maeneo mengine.

Ninawahakikishia wapenzi wa burudani ya muziki kuwa  kutakuwa na burudani ya kutosha na usalama wa kutosha hivyo waianzie wikiendi yao Kawe kwa kusugua kisigino ,alisema Kawogo.

Blog ya kimkeventertainment inawatakia msuguo mwema.