Friday, June 24, 2011

MISS SINZA 2011 NDANI YA VATICAN HOTEL LEO

 Mratibu wa Miss Sinza 2011 bi Titina Makutika akiongea na waandishi wa habari kuhusu shindano la miss sinza  jana jijini Dar es salaam.kushoto kwake ni  bi Victoria Kimaro meneja wa kinywaji cha Redds ambao ni wadhamini wa shindano hilo,kulia ni mkufunzi wa warembo bi Beatrice Joseph.
Warembo wanaotarajiwa kupanda jukwaani leo wakiwa kwenye pozi la pamoja.

No comments:

Post a Comment