Sunday, January 15, 2012

Warembo Miss Tanzania wala nondo za Kidiplomasia

Miss Tanzania 1999 Hoyce Temu (kushoto) na 1999 na Miss Tanzania namba tatu 2004, Cecilia Assey wakiwa na furaha baada ya kula nondo zao kutoka Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam. Warembo wengine nchini inafaa waige mfano huu wa kujiendelea kielimu na kuacha kufanya mambo ambayo hayawaletei tija wao na jamii kwa ujumla.
 
 Hoyce Temu na Mdau Sixtus Mapunda akiwa na familia yake.
Hoyce Temu katika picha ya pamoja na familia yake. Kutoka kushoto ni Mrs. Shose Minja mama yake mdogo, Pendo Matee Makwaiya, Rafiki yake Emelda pamoja na dada yake Edith Max.
Hoyce Temu katika picha ya pamoja na Mdau Assah Mwambene wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushiriokiano wa Kimataifa.
Hoyce Temu akiwa na mtoto wake Ruby
Hoyce Temu akiwa na mmoja wa wahadhiri wa chuo hicho.
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe katika Picha ya Pamoja na wahitimu Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations). Wa tatu kutoka kushoto waliosimama ni Hoyce Temu.

No comments:

Post a Comment