Friday, December 23, 2011

CLOUDS FM YAPATA TUZO YA SUPER BRANDS KWA MWAKA WA PILI MFULULIZO.


Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akimkabidhi tuzo ya Superbrandy Bw. Joseph Kusaga mkurugenzi wa Clouds Fm , katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrandy East Africa Jawad Jaffer, katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni yaliyofanya vizuri katika ubora wa viwango vya bidhaa na kukubalika kwa walaji, katika hafla inayofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam usiku huu, ambapo makampuni mbalimbali yatapata tuzo hizo kutoka kwa taasisi hiyo, Kituo cha redio cha Clouds ni kituo pekee kilichofanikiwa kupata tuzo hiyo ya Superbrands hapa nchini



No comments:

Post a Comment