Friday, December 30, 2011

HAFLA YA CHAKULA CHA USIKU YA NDOA YA CASTOR NA FLAVIANA


Castor na Flaviana wakiwa kanisani kwenye hatua za kufunga ndoa yao takatifu iliyofanyika alasiri ya Alhamis iliyopita ya tarehe 29.12.2011
Castor na Flaviana wakiwa kwenye hafla ya chakula cha usiku kwa ajili ya ndoa yao iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mbezi garden usiku wa Alhamisi tarehe 29.12.2011.
Wapambe wa Castor na Flaviana wakiigia ndani ya ukumbi wa mbezi garden jijini dar es salaam.
Bw.Fungamara akitoa neno la makaribisho kwa niaba ya familiya ya bwana harusi.
Bwana harusi Castor Mushi akifatilia kwa furaha kubwa namna Mc Kim anavyotawala ukumbi.
Mzee Maro(baba wa bibi harusi) akifuatia kwa furaha matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea ndani ya ukumbi wa Mbezi garden.
Familiya ya bwana harusi(familiya ya Mushi )ikiwa kwenye picha ya pamoja na maharusi na wapambe wao.

Familiya ya bibi harusi (familiya ya Maro) ikiwa kwenye picha ya pamoja na maharusi.
Maharusi wakifungua champaigne sambamba na Kikarie( kushoto).

Maharusi (Castor na Flaviana) wakinyweshana champaigne.
.Mc Kim akihost shughuli.
Maharusi wakikata ndafu.
Maharusi na wapambe wao wakiwa kwenye meza ya chakula maalumu kwa ajili yao.
Wageni waalikwa,ndugu jamaa na marafiki wakipata chakula.
Mzee Maro (baba wa bibi harusi) sambamba na mama akionesha kamba kuashiria kutoa zawadi ya ng'ombe kwa maharusi.
Maharusi sambamba na wageni waalikwa wakilisakata rhumba. 



Mkurugenzi wa kampuni kimkev entertainment anawatakia maisha mema yenye baraka tele. 

No comments:

Post a Comment