Tuesday, December 13, 2011

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA KENYA MH. KALONZO MUSYOKA LEO IKULU


 Rais Jakaya Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Mwai Kibaki wa Kenya uliowasilishwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mh Kalonzo Musyoka alipomtembelea jumamosi iliyopita Desemba 13, 2011 Ikulu jijini Dar es salaam

  Rais Jakaya Kikwete katika maongezi na ujumbe wa kenya unaoongozwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mh Kalonzo Musyoka
Rais Jakaya Kikwete akitambulishwa kwa Mfalme Peter Nabongo Mumia wa ukoo wa Wanga wa Magharibi mwa Kenya wakati Makamu wa Rais wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka alipomtembelea jumamosi iliyopita Desemba 10, 2011 Ikulu jijini Dar es salaam
                                            Rais Jakaya kikwete akiulaki ujumbe wa Kenya

No comments:

Post a Comment