Friday, December 23, 2011

WAZIRI MKUU AKIWA CONGO


  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na mke wa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Olive katika shere za kumwapisha Rais hiyo Mjini Kinshasa Desemba 20, 2011
Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, akimtambulisha mwanae wa kiume (jina halikupatikana) kwa Waziri Mkuu, MIzengo Pinda katika sherehe za kumwapisha Rais huyo Mjini Kinshasa Desemba 20, 2011

No comments:

Post a Comment