Saturday, December 24, 2011

NAPE ATOA MSAADA KWA WATHIRIKA WA MAFURIKO


Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akikabidhi
msaada wa vyakula kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadik , katika
ofisi ya mkuu huo jana. Vyakula hivyo vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 4, vimetolewa na CCM kwa ajili ya kusaidia waliokumbwa na maafa ya kafuriko yaliyosababishwa na vyua katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo.
Nape akimchumu mtoto Fatuma Fadhili aliyekuwa na mama yake Ofisi za mkuu wa
mkoa wa Dar es Salaam, jana.

No comments:

Post a Comment