Wednesday, August 24, 2011

JK ALIPOTEMBELEA MRADI WA UPANUZI WA MIUNDOMBINU YA MAJI LINDI

 Rais Kikwete akiwa na mkuu wa mkoa wa Lindi  bw. Meck Sadick nyuma yake mara alipofika kwenye maeneo ya mradi Jumapili iliyopita tarehe 21.08.2011.
 Rais Kikwete akisikiliza maelezo toka kwa mkurugenzi mtendaji wa mamlaka ya maji mjini Lindi bw.Daudi Majani
 Rais akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa maendeleo wa mji wa Lindi kwenye sekta ya elimu.
 Rais Kikwete akiwa na meneja mradi wa kampuni ya Jandu plumbers wanaotekeleza mradi huo bw.Jite Kalsi.


Picha kwa hisani ya mdau Jite






No comments:

Post a Comment