Friday, August 19, 2011

KAMATI YA CPA YAFANYA KIKAO DODOMA


Mwenyekiti wa CPA Tanzania Mhe. Azzan Musa Zungu akiendesha Kikao cha Kamati Tendaji ya Tawi mjini Dodoma leo.. Kushoto kwake ni Makamu wa Rais wa CPA Mhe. Job Ngugai na Mhe. Abdulkadir Shah (Mjumbe). Kulia ni Ofisa wa Dawati la CPA Bw. Saidi Yakubu na Mhe. Vita Kawawa (Mjumbe) Picha na Prosper Minja-Bunge

No comments:

Post a Comment