Saturday, August 20, 2011

ONE OF THEM WILL BECOME MISS TANZANIA 2011…SOON!

 
Mmoja kati ya warembo unaowaona hapo juu,tarehe 10 September mwaka huu ndani ya Mlimani City,atatwaa title mpya na atakuwa Miss Tanzania 2011.Jumla ya warembo 30 wameshaingia kambini tayari kwa mashindano hayo ambayo yamedhaminiwa tena na Vodacom Tanzania.Je,nani atatwaa taji hilo?Je,mwaka huu Tanzania itang’ara katika stage ya kimataifa yaani Miss world. 

No comments:

Post a Comment