Tuesday, August 16, 2011

WAREMBO WA MISS TANZANIA WAPOKELEWA MONDULI KWA SHANGWE


 Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga akikaribishwa Monduli na Robert Lowasa (kulia).
 Viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania wakiwa na madiwani wa Monduli.
 Warembo wakisalimiana na madiwani na viongozi mbalimbali wa Monduli.
 Mgeni rasmi katika tafrija hiyo, Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Arusha, Namelok Sokoine akikaribishwa na akina mama wa Kimasai katika tafrija maalum ya kuwakaribisha warenmbo 30 wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania walipotembelea Monduli.
 Kikundi maalum cha burudani cha akina mama wa Monduli wakiimba wakati wa tafrija hiyo.
 Warembo wakiwa ukumbini
 Viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania kutoka kushoto Aidan Rico, Oscar Makoye, mrembo wa zmani wa Miss Tanzania Feidha Kessy na Bosco Majaliwa "Mshua" wakiwa katika tafrija hiyo.
 Ulifika wakati muafaka wa kugonga menu...warembo hawakujivunga.
 Dada wa Mbunge wa jimbo la Monduli na Waziri Mkuu mstaafu Kalaine Lowasa akiwavisha warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, mgolole wa kimasai wakati warembo hao walipoandaliwa tafrija maalum ya kuwakaribisha katika mji wa Monduli.Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum Arusha, Namelok Sokoine. Warembo hao wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo.
Vazi hili ni laheshima sana kwa jamii ya Kimasai na pindi unapokaribishwa katika Boma na kuvishwa na mwenyeji wako inaaashiria heshima kubwa sana. Hapa warembo wote wakiwa wamevalia vazi hilo.
 Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha(CCM) Namelok Sokoine akizungumza wakati a tafrija hiyo.
 Mgeni rasmi alifungua mziki na Miss Tanzania 2010.
 Ulifika wakati wa kwaito na hapa ni Mke wa Mbunge wa Monduli, Regina Lowasa na Mbunge Namelok Sokine wakiongoza safu ya kulishambulia jukwaa na warembo.
 Wageni waalikwa na wadau wa urembo Monduli wakiwa katika tafrija hiyo.
Robert Lowasa "Bob" akila snap na baadhi ya warembo baada ya tafrija hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa E'Manyata Lodge 
"A real Maasai Shelters Place to Stay"

No comments:

Post a Comment