Tuesday, August 23, 2011

SIMBA KUTINGA NA NGAO BUNGENI ALHAMIS

Kikosi cha Simba kilichopambana na Yanga, na kupata ushindi wa mabao 2-0, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumatano iliyopita, hivyo kufanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii,

Spika wa Bunge, leo ametangaza bungeni, kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Aden Rage ameomba Alhamis ijayo timu hiyo ,itinge na ngao hiyo bungeni, kwa lengo la kuwaonesha wabunge

No comments:

Post a Comment