Wednesday, August 17, 2011

UHONDO WA AIRTEL FLEVA

Airtel yaburudika na wanafunzi mashuleni Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiwa kwenye stage na Mdau Alan lucky wa EATV wakiburudika  na wanafunzi wa shule ya sangara wakati Airtel ilipokuwa ikidondosha flava za nguvu ikiwa ni mpango maalum wa kuburudika na wanafunzi kupitia airtel flava shoo zinazozunguka mashuleni.
Wakali Dansa wakiwasha wakati wa airtel flava.  Kikundi cha burudani cha shule ya sangara kijulikanacho kama Wakali dansa wakishusha kiduku mwanzo mwisho wakati wa tamasha maalum kwa wanafunzi wa sekondari liliandaliwa na Airtel na kufanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki
Msanii wa kizazi kipya diamond the platinum a.k. a rais wa wasafi akiwasha moto kwenye jukwaa la pamoja la Airtel flava maalum kutao burudani kwa wanafunzi wa sekondari linalofanyika kila mwezi mara moja katika sekondari mbalimbali wiki hii tamasha hili lilifanyika katika shule ya sangara iliyoko chanika na kuudhuriwa na wanfunzi wa shule hiyo ma wananch wa maeneo ya jirahi ya Chanika

No comments:

Post a Comment