Monday, October 3, 2011

CCM KIDEDEA IGUNGA


Mbunge Mteule wa Jimbo la Igunga kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. Peter Kafumu akionesha hati yake ya kuwa  amechaguliwa kuwa Mbunge wa Igunga katika uchaguzi mdogo uliofanyika jimboni hapo Oktoba 2 2011.

Tume ya Uchaguzi imetangaza matokeo hayo hivi punde na imemtangaza mgombea wa CCM kuwa ndie Mshindi. Katika uchaguzi huo uliofanyika Oktoba 2, 2011 CCM ilipata kura 26,484 CHADEMA kura  23,260, CUF kura 2104.

No comments:

Post a Comment