Monday, October 3, 2011

WEMA SEPETU AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA DIAMOND


Msanii wa Bongo Flava Naseeb Abdul 'DIAMOND" alifanya 'suprise' jana usiku Maisha Club kwenye Birthday Party yake,kwa kumvalisha  pete ya uchumba mpenzi wake Wema Abraham Sepetu.


Ndoa ya mastaa hawa inatarajiwa kuwadia hivi karibuni kwani mchakato wa ndoa unaendelea chini kwa chini na ndugu wa karibu,hii itakuwa ni moja ya harusi ambayo itavutia watu wengi jijini DAR.

No comments:

Post a Comment