Sunday, October 16, 2011

HAFLA YA WASHINDI WA MISS REDDS ILALA

Mratibu wa Burudani wa Hoteli ya JB Bolmonte, Mohamed Bawazir akizungumza wakati wa hafla ya washindi wa Miss Redd s Ilala,jijini Dar es Salaam.Miss Ialala 1998, Diana Muhere akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyoandaliwa na waandalizi wa Miss Ilala, wakiongozwa na Mraibu Jackson Kalikumtima Bendi ya Babloom ikitumbuiza katika hafla hiyo. Wageni waalikwa wakiserebuka Mambo yanazidi kupamba motoMmiliki wa Blog ya Michuzi, Muhidini Issa Michuzi akifaidi kucheza na Miss Ilala 2009 Silvia Shally .

No comments:

Post a Comment