Saturday, October 22, 2011

JK akutana na Naibu Katibu Mkuu wa UN Ikulu Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu na kufanya mazungumzo na Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro jijini Dar es salaam jana asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro.

No comments:

Post a Comment