Thursday, October 6, 2011

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafonealipozuru Tanzania


Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao katikati akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa CCBRT Haika Mawala akiongea mara alipotembelea hospitali hiyo akiwa na lengo la kutoa msaada kwa kina mama wanaosumbuliwa na ugonjwa wa festula mara alipowasili nchini hivi  karibuni,Kushoto Ofisa Mkuu wa masoko na mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao akisalimiana na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania mara alipowasili nchini hivi karibuni akiwa na lengo la kujionea jinsi Vodacom Tanzania inavyoendesha shughuli zake.

No comments:

Post a Comment