Saturday, October 22, 2011

KIZAZAI MISS KAMPALA UNIVERSITY DAR ES SALAAM

Shindano la kumsaka mrembo wa Chuo Kuu cha Kimataifa Kampala (KIU) 2011 litarajiwa kufanyika leo katika ukumbi wa Savanna Lounge (Quality Center) uliopo barabara ya Pugu, ambapo jumla ya warembo 12 watapanda jukwaani kuwania taji hilo leo 22 Octoba 2011.

No comments:

Post a Comment