Jenereta la Kituo cha Star Times kinachorusha matangazo ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), likiwa limeteketea kwa moto jana, baada ya Transfoma kulipuka na kuunguza pia ofisi za kituo hicho kilichopo Mikocheni, Dar es Salaam.Friday, October 7, 2011
JENERETA, OFISI ZA STAR TIMES ZAUNGUA MOTO
Jenereta la Kituo cha Star Times kinachorusha matangazo ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), likiwa limeteketea kwa moto jana, baada ya Transfoma kulipuka na kuunguza pia ofisi za kituo hicho kilichopo Mikocheni, Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment