Tuesday, October 25, 2011

MISS TANZANIA 2011 AENDELEA NA MAZOEZI YA MISS WORLD 2011


 
Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (nguo za njano) akifanya mazoezi ya viungo pamoja na washiriki wenzake waShindano la Urembo la Dunia katika kambi yao jijini London Uingereza. 

Katika Hatua nyingine waandaki wa shindano hilo
Juzi kamati ya Shindano la Miss World 2011 wametangaza majina ya warembo ambao wanaingia katika hatua ya nusu fainali ya katika kundi la Mrembo mwenye kipaji na Mrembo mwenye kipaji cha Michezo katika fainali za mwaka huu za dunia.

For Sports
Group 1: Bonaire, Australia, Bahamas, Canada, Chile, Bolivia
Group 2: Czech Republic, Guatemala, Dominican Republic, Denmark, Hungary, Botswana
Group 3: Panama, Paraguay, Lithuania, Jamaica, Latvia, Portugal
Group 4: Trinidad & Tobago, Puerto Rico, Sweden, Singapore, Uganda, Scotland

For Talent
Paraguay, Iceland, Latvia, Malta, US Virgin Islands, Lithuania, Barbados, South Africa, Guatemala, Cayman Islands, Venezuela, Canada, Ukraine, Puerto Rico, Kazakhstan, Chile, St Barthelemy, China PR, Czech Republic and Indonesia

No comments:

Post a Comment