Thursday, November 3, 2011

DUNIA DUARA YA AFRICAN STARS YAJA


Bendi maarufu ya muziki wa dansi  ya Twanga Pepeta, inatarajiwa kuzindua album yake inayokwenda kwa jina Dunia Daraja mnamo tarehe 6 Novemba(next weekend) pale katika viwanja vya Leaders-Kinondoni jijini Dar-es-salaam.Pichani ni baadhi ya watunzi wa nyimbo zilizomo katika album hiyo.Unaweza kuwatambua kwa majina baadhi ya unaowaona hapo? Na labda kwa kuongezea tu,ni kibao gani cha Twanga Pepeta ambacho unakikumbuka au kukipenda zaidi?Binafsi nakizimia sana Kisa Cha Mpemba.

No comments:

Post a Comment