Saturday, November 12, 2011

HAJI ADAM BABA HAJI AAPISHWA KUWA RAIS WA SERIKALI YA WANACHUO-TASUBA(TASUBASO)

 Haji Adam msanii nguli la filamu za bongo akitangaza baraza la mawaziri mara baada ya kuapishwa kuwa rais wa serikali ya wanachuo wa taasisi ya sanaa na utamaduni (Tasubaso) kwenye ukumbi wa taasisi hiyo mjini Bagamoyo jana.
 Haji Adamu kushoto akiwa pamoja na mkurugenzi wa mafunzo wa taasisi ya sanaa na utamaduni Bagamoyo Tasuba bw. Michael Kadinde wakati wa utangazaji wa baraza la mawaziri.
 Mwadili wa wanachuo waTasuba bw.John Mponda akinikuu taarifa muhimu wakati wa utangazaji wa baraza la mawaziri la wanachuo.
 Viongozi wa serikali za wanavyuo wa  vyuo jirani wakifuatilia utangazaji wa baraza la mawaziri.Kulia rais wa SLADSO-Slads na kulia DEMASO-Adem


Wanachuo wa Tasuba wakifuatilia utangazaji wa baraza la mawaziri la serikali yao.

No comments:

Post a Comment