Monday, November 28, 2011

MATUKIO YA RAIS ALIPOKUTANA NA CHADEMA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wa Serikali yake jana, Jumapili, Novemba 27, 2011, amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). 

 
Tundu Lissu akitoka Ikulu

No comments:

Post a Comment