Tuesday, November 8, 2011

PRINCE CHARLES ALIVYOPOKELEWA IKULU NA RAIS KIKWETE




Mtoto wa Malkia wa Elizabeth wa Uingereza,Prince Charles na mkewe Camilla wakiwa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Dkt Jakaya Kikwete katika ikulu  ya Dar es salaam.

Prince Charles akiweka saini yake  kwenye kitabu cha kumbukumbu ya wageni mashuhuri.

Dkt Rais Kikwete na Mama Salma kikwete wakiwa na wageni wao Prince Charles na mke wake Camilla ikulu jana jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment