Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemiah Mchechu akisaini hati za makubaliano na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC,Lawrence Mafuru kuhusu suala la mikopo ya nyumba jijini Da es Salaam jumatatu iliyopita, Wanaoshuhudia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka na Mwenyekiti wa Bodi ya NHC, Injinia Kesogukewele Msita. Thursday, November 3, 2011
NBC na mabenki sita ya biashara yaingia makubaliano na NHC
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemiah Mchechu akisaini hati za makubaliano na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC,Lawrence Mafuru kuhusu suala la mikopo ya nyumba jijini Da es Salaam jumatatu iliyopita, Wanaoshuhudia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka na Mwenyekiti wa Bodi ya NHC, Injinia Kesogukewele Msita.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment