Tuesday, August 12, 2014

ELIZABETH TARIMO NDIYE MSHINDI WA MISS KANDA YA MASHARIKI 2014


Mshindi wa Taji la Redd’s Miss Kanda ya Mashariki 2014 ,  Elizabeth  Tarimo (18) ambaye pia ni Miss Lindi akiwa mwenye uso wa furaha na tabasamu la ushindi sambamba na  mshindi wa pili  Nidah Katunzi (19) ( kulia) ,ambaye ni Miss Mtwara pamoja na wa tatu, Lucy Julius Diyu  (21) (kushoto) Miss Morogoro baada ya kutangazwa kuwa washindi kwenye nafasi hizo wakati  kinya’ganyiro cha kuwania taji hilo  kilichofanyika juzi usiku kwenye ukumbi wa Hoteli ya Nashera ya mjini Morogoro.

No comments:

Post a Comment