Wednesday, August 13, 2014

Mkurugenzi Idara ya Habari( MAELEZO) atembelea vitengo vya Mawasiliano Serikalini



IMG_9656
Afisa Habari wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Bw. Dennis Kiilu akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani) wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Habari wa Wizara hiyo Bi. Fatuma Malende.
IMG_9678
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene akiwaonesha Maafisa Habari wa Wizara ya Maji (hawapo pichani) namna Matumizi ya Mtandao wa Kijamii wa Twitter unavyofanya kazi hasa katika nguvu na kasi ya upashaji habari kwenye jamii, wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelazaji wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam.
IMG_9684
Baadhi ya Maafisa Uhusiano Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kutoka kushoto ni Neema Mbuja, Salama Kasamalu na Henry Kilasila wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani) wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini Leo Jijini Dar es Salaam.
[PICHA NA HASSAN SILAYO]
IMG_9697
Kaimu Meneja Uhusiano wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Bw. Adrian Severin akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani) wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelzaji wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam
IMG_9706
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene akieleza jambo kwa Maafisa Uhusiano wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) (baadhi hawapo pichani) wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelzaji wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Meneja Uhusiano wa Shirika hilo Bw. Adrian Severin na katikati ni Afisa Uhusiano wa Shirika hilo Bw. Henry Kilasila.

No comments:

Post a Comment