Monday, August 11, 2014

WAREMBO WA MISS TEMEKE 2014 WAENDELEA NA MAZOEZI

 

 Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd's Miss Temeke, wakifanya mazoezi ya viungo katika ukumbi wa mazoezi wa Rio Gym & Spa Extra Jengo la Golden Jubilee, Dar es Salaam. Mashindano hayo yatafanyika TCC Club, Chang'ombe Agosti 22, mwaka huu.
 Ni mazoezi kwa kwenda mbele.




 Rebecca na Neema Mollel wakiendelea na mazoezi hayo







No comments:

Post a Comment