Meneja Masoko wa TBL Tanzania Bw.Joseph Chebehe akizindua kinywaji kipya cha FYFES WHISKY katika hotel ya Mt.Meru jijini Arusha
Meneja wa Brand ya Tanzania Distilleries Limited kampuni tanzu ya Tanzania Breweries Limited ambayo ni sehemu ya kampuni mama ya SABMiller Group Bi.Martha Bangu akiwakaribisha wageni wageni katika uzinduzi wa FYES WHISKY
Muonekano wa FYFES WHISKY
Baadhi ya wageni waalikwa kwenye uzinduzi wa FYFES WHISKY katika hotel ya Mt.Meru jijini Arusha
Katikati ni Meneja Masoko wa kampuni ya Megatrade Ivestment Goodluck Kway na wadau wengine wakifatilia kwa ukaribu uzinduzi wa kinywaji kipya cha FYFES WHISKY katika hotel ya Mt.Meru jijini Arusha
Kushoto ni Mtangazaji maarufu wa choice fm ya jijini Dar es saalam Jimmy Kabwe ndiye aliyekuwa mshereheshaji wa uzinduzi wa kinywaji cha FYFES WHISKY katika hotel ya Mt.Meru Arusha
Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) imezindua kwa mara ya kwanza kinywaji ambacho kinatokana na malighafi halisi ya Whisky ya Scotch kutoka katika vilima vya Uscotchi huko Scotland ambayo itasambazwa nchini Tanzania na Tanzania Distilleries Limited ijulikanayo kwa jina la FYFES WHISKY
Akizindua rasmi uzinduzi huo katika hotel ya Mt.Meru jijini Arusha Meneja Masoko wa TBL Tanzania Bw.Joseph Chebehe alisema kuwa pamoja na kuwapa watanzania vinywaji mbalimbali vile vile itaongeza ajira na fursa ya watanzania kujiajiri kupitia bidhaa zao(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
No comments:
Post a Comment