Sunday, September 21, 2014

ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA BAGAMOYO


1
 3
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Bagamoyo  Dr. Shukuru Kawambwa akielekeza jambo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Magomeni mjiniBagamoyo, Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mh.Ahmed Kipozi. 4
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mh. Mwantumu Mahiza akizungumza jambo na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Ndugu Mwinshehe Mlao. 5
 7
 8
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo. 9
Baadhi ya wanachama wapya wa CCM wakila kiapo mara baada ya kupokea kadi zao za uanachama wa CCM leo mjini Bagamoyo.
 12
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akitema cheche katika mkkutano huo.
 
CHANZO FULLSHANGWE BLOG

No comments:

Post a Comment