Tuesday, September 2, 2014

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA AMANI NA USALAMA WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA JIJNI NAIROBI


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tishio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla.
Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi katika mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kuzungumzia masuala ya tioshio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Yoweri Kaguta Museveni wakiteta jambo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi katika mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tishio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla.
Nyimbo za AU na Kenya zikipigwa kabla ya mkutano wa kuzungumzia masuala ya tishio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi.

No comments:

Post a Comment