Friday, September 12, 2014

Rais Kikwete aagana na Balozi wa Ufaransa, pia amuaga Jaji wa Mahakama ya Afrika


D92A0205
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza ikulu jijini Dar es Salaam jana na Jaji Sophia Akkufo Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika(AFHPR) aliyemaliza muda wake(picha na Freddy Maro).
D92A0120
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake nchini Mhe.Marcel Escure wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam jana

No comments:

Post a Comment