Tuesday, September 2, 2014

AIRTEL YAZINDUA MRADI WA “TUNAKUJALI”

1
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (wa pili
kulia), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,
kuhusu onyesho la muziki lililoandaliwa na kitengo cha huduma kwa
wateja kupitia Mradi wa ‘Tunakujali’ kwa ajili ya kukusanya pesa za
kuchangia shule ya watoto wenye mahitaji maalum ya Pongwe mkoani
Tanga, litakalowashirikisha wanamuziki nyota, Mzee King Kikii (wa pili
kushoto) na Banana Zorro (kushoto), litakalofanyika kesho Septemba 03,
katika viwanja vya Airtel Makao Makuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma
kwa Wateja wa Airtel, Adriana Liamba. 2
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Airtel, Adriana Liamba (wa pili
kulia), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,
kuhusu onyesho la muziki lililoandaliwa na kitengo cha huduma kwa
wateja kupitia Mradi wa ‘Tunakujali’ kwa ajili ya kukusanya pesa za
kuchangia shule ya watoto wenye mahitaji maalum ya Pongwe mkoani
Tanga, litakalowashirikisha wanamuziki nyota, Mzee King Kikii (wa pili
kushoto) na Banana Zorro (kushoto), litakalofanyika kesho Septemba 03,
katika viwanja vya Airtel Makao Makuu. Kulia ni Meneja Uhusiano wa
Airtel Tanzania, Jackson Mmbando.

No comments:

Post a Comment