Thursday, September 4, 2014

FERGUSON AWAALIKA WENGER, MOURINHO NA MAMENEJA WENGINE KIBAO KASORO VAN GAAL!


Picha ya pamoja ikiwaonesha mameneja wa Vilabu mbalimbali vikubwa duniani walipokutana kwa siku mbili katika mkutano Mkuu wa Mameneja wa kila mwaka katika Makao Makuu ya UEFA huko Nyon, Uswisi. Meneja wa Zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson (wanne kulia) alihudhuria kama balozi maalum katika mkutano huo uliohudhuriwa pia na Rais wa UEFA, Michele Platini. Picha ndogo ni Sir.Ferguson akionekana kutaniana na Arsene Wenger pamoja na bosi wa Manchester City Manuel Pellegrini.

No comments:

Post a Comment