Monday, September 1, 2014

RACHAEL CLAVERY NDIYE MISS LAKE ZONE 2014


Malkia wa kanda ya Ziwa, 'Miss Lake Zone 2014' Rachael Clavery (katikati) akiwa jatika picha ya pamoja na mshindi wa pili Mary Emanuel (kulia) na Mshindi wa tatu Nikole Sarakikya (kushoto) mara baada ya kutawazwa kuwa ndio washindi na kujinyakulia tiketi ya kushiriki Miss Tanzania 2014. Rachael aliwashinda warembo wengine 17 na kujinyakulia zawadi ya Gari la lenye thamani Shilingi millioni 10 katika shindano lililofanyika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment