Thursday, September 4, 2014

BRAZIL WARUDI KUPIGA TIZI BAADA YA AIBU YA KOMBE LA DUNIA, NEYMAR, ROBINHO WAIVUTIA KASI COLOMBIA



Back in action: Brazil superstars Neymar and Robinho show off their skills as the squad train in Miami

Karudi kazini: Nyota wa Brazil , Neymar na Robinho wakionesha ufundi wao katika mazoezi mjini Miami.

BRAZIL wamerudi mazoezini kujiandaa na mechi ya kesho ya kirafiki dhidi ya Colombia baada ya kuondolewa kwa aibu katika fainali za kombe la dunia zilizofanyika majira ya kiangazi mwaka huu katika ardhi yake.
Dunga, ambaye amerejea kwa mara ya pili kuifundisha Brazil atawaongoza Selecao katika mchezo wa kwanza tangu walipofungwa magoli 7-1 na Ujerumani katika mechi ya nusu fainali ya kombe la dunia na mabao 3-0 dhidi ya Uholanzi katika mchezo wa mshindi wa tatu mwezi julai mwaka huu.
Mabingwa hao mara tano wa dunia wanafanya mazoezi mjini Miami wakiwa na nyota wao Neymar ambaye alipata majeruhi makubwa katika mchezo wa robo fainali wa kombe la dunia dhidi ya Colombia.
Recovered: Neymar suffered a back injury at the World Cup against Colombia but has now returned to the pitch
Amepona: Neymar alipata majeruhi katika mechi dhidi ya Colombia lakini amerudi uwanjani.

Kikosi cha wachezaji 22 kilichotajwa na Dunga kwa ajili ya mechi ya kirafiki na Colombia na Ecuador 

Walinda mlango: Jefferson (Botafogo), Rafael (Napoli)

Mabeki: Maicon (AS Roma), Filipe Luis (Chelsea), Alex Sandro (FC Porto), Danilo (FC Porto), David Luiz (Paris Saint-Germain), Marquinhos (Paris Saint-Germain), Gil (Corinthians), Miranda (Atletico Madrid)

Viungo: Fernandinho (Manchester City), Luiz Gustavo (VfL Wolfsburg), Elias (Corinthians), Ramires (Chelsea), Everton Ribeiro (Cruzeiro), Ricardo Goulart (Cruzeiro), Oscar (Chelsea), Willian (Chelsea), Philippe Coutinho (Liverpool)

Washambuliaji: Hulk (Zenit St Petersburg), Neymar (FC Barcelona), Diego Tardelli (Atletico Mineiro)
Blue: Chelsea's midfielder Willian, was part of their home World Cup this summer, is put through his paces
Bluu: Kiungo wa Chelsea, Willian, akitafuta kasi katika mazoezi ya Brazil

No comments:

Post a Comment