Monday, September 5, 2011

JEEP LA MILIONI ZA TZ 72 NDIYO ZAWADI YA MISS VODACOM TANZANIA 2011


 Mshindi wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania mwaka huu kujinyakulia gari hili hapa juu aina ya Jeep lenye thamani ya shilingi za kitanzania Milioni 72.
 Meneja  Masoko wa CFAO "DT Dobie", Alfeddy Minja na Mkuu wa  Udhamini wa Vodacom George Rwehumbiza (kushoto) wakimkabidhi ufunguo wa gari Hilo Mkurugenzi wa Lino International Agency mwandaaji wa Miss Tanzania , Hashim Lundenga.

No comments:

Post a Comment