Moto mkali uliozuka majira ya saa 9 usiku wa kuamkia jana umeteketezabaadhi ya vibanda vya biashara na mali katika soko dogo la Forest jijini Mbeya kabla ya vikosi vya zima moto vikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Evans Balama kufanikiwa kuuzima moto huo. Moto huu umezuka tena ikiwa ni siku chache tu baada ya moto mwingine kuteketeza soko jijini humo wiki hii.
No comments:
Post a Comment