Monday, September 5, 2011

JOYCE KIRIA APATA ZALI TENA










  Bw Henry John Kileo na Bi Joyce Kiria Walipofunga ndoa yao jana Jumapili(jana) na baadae  bonge la pati lililofanyika katika hoteli ya Atrium pande za Afrika Sana - Mwenge.
  NI mara ya pili kwa Joyce kiria kuolewa ndani ya kipindi cha muda mfupi baada ya kutalakiana dj Nelly mumewe wa ndoa ya kwanza Dj.

No comments:

Post a Comment