Tuesday, September 6, 2011

WIZARA YA ELIMU YAADHIMISHA MIAKA 50 YA UHURU


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akielezea mbele ya waandishi wa habari, kuhusu vipaumbele vaya elimu walivyoweka wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika, Dar es Salaam . Kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo,Philipo Mulugo.
Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wakitembelea mabanda mbalimbali ya maonesho
Wasanii wa kikundi cha Nimujo cha Mwananyamala, Dar es Salaam, wakitumbuiza wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru iliyoandaliwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam
Bendi ya THT, ikitumbuiza katika maadhimisho hayo
Baadhi wanafunzi wakiwa banda la Tume ya Vyuo Vikuu wakiuluzia mambo mbalimbali

No comments:

Post a Comment